Ufafanuzi wa konda katika Kiswahili

konda

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa mwembamba wa mwili na dhaifu.

    ‘Kondaea, kondaeana, kondaeka, kondaesha’
    dhoofu, pauka, dhii, sinyaa, fifia, finyaa

Matamshi

konda

/kOnda/