Ufafanuzi wa kongamano katika Kiswahili

kongamano

nominoPlural makongamano

  • 1

    mjadala juu ya jambo fulani unaofanywa na mkusanyiko wa watu baada ya wazungumzaji maalumu kuuanzisha.

    chilumbo, mdahalo, malumbano, mabishano

Matamshi

kongamano

/kOngamanɔ/