Ufafanuzi wa kongoro katika Kiswahili

kongoro

nominoPlural makongoro

  • 1

    mguu wa mnyama aliyechinjwa.

    ‘Supu ya makongoro’

Matamshi

kongoro

/kOngɔrO/