Ufafanuzi wa kontinenti katika Kiswahili

kontinenti

nomino

  • 1

    eneo kubwa la nchi kavu duniani.

    bara

Asili

Kng

Matamshi

kontinenti

/kOntinɛnti/