Ufafanuzi wa korofi katika Kiswahili

korofi

kivumishi

  • 1

    -enye kisirani.

    kaini, jeuri, kaidi, dhalimu

Matamshi

korofi

/kOrOfi/