Ufafanuzi msingi wa kosa katika Kiswahili

: kosa1kosa2

kosa1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  fanya lisilo sahihi au lisilokubalika; fanya vibaya.

  potoka, noa

 • 2

  vunja sheria au desturi ya dini au nchi.

 • 3

  lenga shabaha na kutoipiga.

 • 4

  kutokuwa na; potewa na; kutopata.

  ‘Alikwenda kumfuata lakini alimkosa’

Matamshi

kosa

/kOsa/

Ufafanuzi msingi wa kosa katika Kiswahili

: kosa1kosa2

kosa2

nominoPlural makosa

 • 1

  wazo, tendo au jambo lililo kinyume na kanuni, taratibu au sheria.

  ‘Fanya kosa’
  ‘Sahihisha kosa’
  hatia, aili

Matamshi

kosa

/kOsa/