Ufafanuzi wa kosana katika Kiswahili

kosana

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya kutokuwa na masikilizano na.

    ‘Siku hizi vijana wale si marafiki tena, walikosana kitambo’

Matamshi

kosana

/kOsana/