Ufafanuzi msingi wa koyo katika Kiswahili

: koyo1koyo2

koyo1

nominoPlural koyo

  • 1

    kuvimba kwa miguu kunakompata mwanamke mwenye mimba.

Matamshi

koyo

/kOjO/

Ufafanuzi msingi wa koyo katika Kiswahili

: koyo1koyo2

koyo2

nominoPlural koyo

  • 1

    ndege jamii ya mnana, agh. huwa wa rangi ya manjano.

Matamshi

koyo

/kOjO/