Ufafanuzi wa kriketi katika Kiswahili

kriketi

nominoPlural kriketi

  • 1

    mchezo wenye wachezaji kumi na moja kila timu, ambapo mchezaji wa timu moja hurusha mpira na mpinzani hujaribu kuupiga kwa beti.

Asili

Kng

Matamshi

kriketi

/krikɛti/