Ufafanuzi msingi wa kulabu katika Kiswahili

: kulabu1kulabu2

kulabu1

nominoPlural kulabu

  • 1

    kipande cha chuma kilichopinda nchani mfano wa ndoana, kinachotumiwa kusukia vitu.

  • 2

    kifaa cha chuma kama mkasi kilichopinda nchani, kinachotumiwa na sonara.

Asili

Kar

Matamshi

kulabu

/kulabu/

Ufafanuzi msingi wa kulabu katika Kiswahili

: kulabu1kulabu2

kulabu2

nominoPlural kulabu

  • 1

    nanga ndogo ya makombe manne.

Asili

Kar

Matamshi

kulabu

/kulabu/