Ufafanuzi wa kulastara katika Kiswahili

kulastara

nominoPlural kulastara

  • 1

    namna ya ndege mwenye shingo ndefu kama korongo, anayekificha kichwa chake mabawani wakati wa kula au kama mbinu ya kujihami.

Matamshi

kulastara

/kulastara/