Ufafanuzi wa kungwi katika Kiswahili

kungwi

nominoPlural makungwi

  • 1

    mtu anayemfundisha mwari wa kiume au wa kike kunga za nyumbani.

    somo

Matamshi

kungwi

/kungwi/