Ufafanuzi wa kunja katika Kiswahili

kunja

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kitu kilichonyooka au kutandazika kipinde au kiwe na majongo.

    beta, peta

  • 2

    weka kitu kilichokunjuliwa k.v. nguo kiwe katika hali ya tabaka kuwa juu ya tabaka jingine.

    ‘Kunja shati’

Asili

Kaj

Matamshi

kunja

/kunja/