Ufafanuzi wa kurugo katika Kiswahili

kurugo

nominoPlural kurugo

  • 1

    jiwe jeupe linalolainisha vitu vinavyofinyangwa.

    tomo, komango

Matamshi

kurugo

/kurugO/