Ufafanuzi wa kurupua katika Kiswahili

kurupua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    sababisha mtu au mnyama kwenda mbio na kwa ghafla.

    shtua

Matamshi

kurupua

/kurupuwa/