Ufafanuzi wa kuzi katika Kiswahili

kuzi

nominoPlural makuzi

  • 1

    chombo cha kuwekea maji, chenye shingo nyembamba, kilichotengenezwa kwa udongo wa kauri.

  • 2

    gudulia kubwa la udongo.

Matamshi

kuzi

/kuzi/