Ufafanuzi msingi wa kwaa katika Kiswahili

: kwaa1kwaa2

kwaa1

nomino

  • 1

    tendo la mtu kugonga kitu kilicho chini kwa mguu bila ya kukusudia.

Matamshi

kwaa

/kwa:/

Ufafanuzi msingi wa kwaa katika Kiswahili

: kwaa1kwaa2

kwaa2

kitenzi elekezi

  • 1

    piga kitu kilicho chini kwa mguu bila ya kukusudia.

    kunguwaa

Matamshi

kwaa

/kwa:/