Ufafanuzi wa kwajuka katika Kiswahili

kwajuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    haribika sura au ondoka rangi katika nguo.

    fifia, parara, pauka, chujuka

Matamshi

kwajuka

/kwaŹ„uka/