Ufafanuzi wa kwanja katika Kiswahili

kwanja

nominoPlural makwanja

  • 1

    bamba la bati refu lililopinda kidogo nchani linalotumiwa kufyekea majani.

    fyekeo

Matamshi

kwanja

/kwanʄa/