Ufafanuzi msingi wa kware katika Kiswahili

: kware1kware2

kware1 , kwale

nominoPlural kware

  • 1

    ndege jamii ya kuku, lakini mdogo kuliko kuku, aishiye porini, mwenye mwili wa rangi ya kahawia au hudhurungi na mabaka meupe au meusi na miguu ya rangi nyekundu au manjano.

    kereng’ende

Matamshi

kware

/kwarɛ/

Ufafanuzi msingi wa kware katika Kiswahili

: kware1kware2

kware2

nominoPlural kware

  • 1

    mahali panapochimbwa mawe kwa ajili ya kazi mbalimbali au panapovunjwa mawe kwa mashine ili kupata kokoto.

Matamshi

kware

/kwarɛ/