Ufafanuzi wa kwaruza katika Kiswahili

kwaruza

kitenzi elekezi

  • 1

    tia au weka alama ya mstari mahali fulani kwa kutumia kitu k.v. ukucha au msumari.

    gwaza

Matamshi

kwaruza

/kwaruza/