Ufafanuzi wa kwikwi katika Kiswahili

kwikwi

nominoPlural kwikwi

  • 1

    pumzi zinazotoka kinywani kwa nguvu na kwa sauti ya kushtukashtuka wakati usiotegemewa kutokana na ugonjwa au kuingia hewa kwenye umio.

    chechevu, kekevu

Matamshi

kwikwi

/kwina/