Ufafanuzi wa lahaja katika Kiswahili

lahaja

nominoPlural lahaja

  • 1

    tofauti katika matamshi, maumbo na matumizi ya maneno katika maeneo mbalimbali kwa lugha yenye asili moja.

    usemi

Asili

Kar

Matamshi

lahaja

/lahaʄa/