Ufafanuzi wa laiki katika Kiswahili

laiki

nomino

  • 1

    ulinganifu wa mambo au hali ya kitu na kingine.

    upatano, usawa