Ufafanuzi wa lala chali katika Kiswahili

lala chali

msemo

  • 1

    lala uso ukielekea juu; lala tani; lala kitanitani.