Ufafanuzi wa lalaika katika Kiswahili

lalaika

kitenzi sielekezi

  • 1

    lalama kwa kuwa na maumivu au njaa.

Matamshi

lalaika

/lalaika/