Ufafanuzi wa lalama katika Kiswahili

lalama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    lia kwa kelele.

  • 2

    toa hoja za kujitetea ama za kutaka haja.

  • 3

    taka msamaha.

Matamshi

lalama

/lalama/