Ufafanuzi wa lamba kisogo katika Kiswahili

lamba kisogo

msemo

  • 1

    dharau yaliyosemwa na mtu kwa kufanya ishara fulani wakati mtu huyo anapokupa kisogo.