Ufafanuzi wa latitudo katika Kiswahili

latitudo

nominoPlural latitudo

  • 1

    mstari wa kufikirika unaoonyesha umbali wa ulalo kutoka Kaskazini kwenda Kusini.

Asili

Kng

Matamshi

latitudo

/latitudɔ/