Ufafanuzi msingi wa lema katika Kiswahili

: lema1lema2

lema1

kitenzi elekezi

  • 1

    punga pepo.

Matamshi

lema

/lɛma/

Ufafanuzi msingi wa lema katika Kiswahili

: lema1lema2

lema2

kitenzi sielekezi

  • 1

    shinda kwa uzito, ugumu au ufundi wake.

    ‘Mapishi yame lema leo’

Matamshi

lema

/lɛma/