Ufafanuzi msingi wa limatia katika Kiswahili

: limatia1limatia2

limatia1

kitenzi elekezi

  • 1

    shikilia kitu nyuma ya kingine.

    ‘Nta imelimatia katika nguo yake’
    gandamiza

Matamshi

limatia

/limatija/

Ufafanuzi msingi wa limatia katika Kiswahili

: limatia1limatia2

limatia2

kitenzi sielekezi

Matamshi

limatia

/limatija/