Ufafanuzi msingi wa limba katika Kiswahili

: limba1limba2

limba1

kitenzi elekezi

Matamshi

limba

/limba/

Ufafanuzi msingi wa limba katika Kiswahili

: limba1limba2

limba2

kitenzi sielekezi

  • 1

    ingia ardhini; jizika.

    ‘Gogo hili limelimba sana chini, hatuwezi kulisukuma’

Matamshi

limba

/limba/