Ufafanuzi wa limbika katika Kiswahili

limbika

kitenzi elekezi

  • 1

    ngojea kitu kiwe kingi; kusanya kitu kidogokidogo hadi kiwe kingi.

Matamshi

limbika

/limbika/