Ufafanuzi wa linganua katika Kiswahili

linganua

kitenzi elekezi

  • 1

    eleza au taja sifa za vitu viwili ili kuonyesha tofauti zao.

Matamshi

linganua

/linganua/