Ufafanuzi wa litajia katika Kiswahili

litajia

nomino

  • 1

    utaratibu unaotumika kuendeshea ibada katika dini ya Ukristo.

Asili

Kng

Matamshi

litajia

/litaŹ„ija/