Ufafanuzi msingi wa liwa katika Kiswahili

: liwa1liwa2liwa3

liwa1

nominoPlural liwa

  • 1

    rojo itokanayo na kusagwa kwa mliwa au sandali na maji; hutumika kuwa manukato au dawa ya joto la ngozi.

Matamshi

liwa

/liwa/

Ufafanuzi msingi wa liwa katika Kiswahili

: liwa1liwa2liwa3

liwa2

nominoPlural liwa

  • 1

    miti inayopandwa mpakani kutenganisha mashamba.

Matamshi

liwa

/liwa/

Ufafanuzi msingi wa liwa katika Kiswahili

: liwa1liwa2liwa3

liwa3

nominoPlural liwa

  • 1

    mabua ya mtama yatumiwayo kutengeneza matenga ya kutegea ndege.

Matamshi

liwa

/liwa/