Ufafanuzi wa liwato katika Kiswahili

liwato

nomino

  • 1

    sehemu ya nyuma iliyo pana katika bunduki; tako la bunduki.

Matamshi

liwato

/liwatÉ”/