Ufafanuzi wa maadili katika Kiswahili

maadili

nominoPlural maadili

  • 1

    mwenendo mwema.

  • 2

    onyo au mafundisho yatolewayo kwa njia ya hadithi au shairi na yenye nia ya kufundisha; mafundisho mazuri.

Asili

Kar

Matamshi

maadili

/ma adili/