Ufafanuzi wa maandalio katika Kiswahili

maandalio

nominoPlural maandalio

  • 1

    matayarisho, hasa ya chakula au ya kupika na kugawa chakula.

  • 2

    matayarisho ya kutenda jambo au shughuli yoyote.

Matamshi

maandalio

/ma andalijɔ/