Ufafanuzi wa maarubu katika Kiswahili

maarubu

nominoPlural maarubu

  • 1

    sababu ya mtu kufanya jambo.

    kusudi, madhumuni, nia

  • 2

    jambo linalotakiwa au kukusudiwa.

Asili

Kar

Matamshi

maarubu

/ma arubu/