Ufafanuzi wa maarusi katika Kiswahili

maarusi

nominoPlural maarusi

  • 1

    bwana na bibi harusi ambao ndio kwanza wamefunga ndoa.

Asili

Kar

Matamshi

maarusi

/ma arusi/