Ufafanuzi msingi wa machezo katika Kiswahili

: machezo1machezo2

machezo1

nominoPlural machezo

 • 1

  maonyesho ya kitu cha kufurahisha.

 • 2

  hali ya kuyaona mambo kinyume na yalivyo hasa.

  kiinimacho, mazingaombwe

Matamshi

machezo

/mat∫ɛzɔ/

Ufafanuzi msingi wa machezo katika Kiswahili

: machezo1machezo2

machezo2

nominoPlural machezo

 • 1

  ufundi wa kutumia dawa, agh. uchawi au vitabu maalumu vya uganga, ili kudhuru viumbe.

  uramali, sihiri, urogi, dunga, uchawi

Matamshi

machezo

/mat∫ɛzɔ/