Ufafanuzi msingi wa mada katika Kiswahili

: mada1mada2

mada1

nominoPlural mada

  • 1

    alama itumikayo katika maandishi ya Kiarabu kuonyesha mwendelezo wa sauti.

  • 2

    hali ya kushikilia jambo liendelee.

Asili

Kar

Matamshi

mada

/mada/

Ufafanuzi msingi wa mada katika Kiswahili

: mada1mada2

mada2

nominoPlural mada

  • 1

    kiini cha habari au jambo linalozungumzwa.

Asili

Kar

Matamshi

mada

/mada/