Ufafanuzi wa madende katika Kiswahili

madende

nominoPlural madende

  • 1

    dosari na mkwaruzo wa sauti katika kuimba au kusema.

    ‘Sauti ya madende’

Matamshi

madende

/madɛndɛ/