Ufafanuzi wa madhila katika Kiswahili

madhila

nominoPlural madhila

  • 1

    hali ya kuonewa au kuteswa.

    mateso, taabu

Asili

Kar

Matamshi

madhila

/maðila/