Ufafanuzi wa madini katika Kiswahili

madini

nominoPlural madini

  • 1

    kitu kinachochimbwa ardhini k.v. chuma, shaba, bati, fedha, dhahabu, almasi, mafuta au chumvi.

Asili

Kar

Matamshi

madini

/madini/