Ufafanuzi wa madoido katika Kiswahili

madoido

nominoPlural madoido

  • 1

    mambo yanayozidisha uzuri wa kitu, agh. kwenye kwaya au shughuli za furaha.

Matamshi

madoido

/madɔjidɔ/