Ufafanuzi wa mafamba katika Kiswahili

mafamba

nominoPlural mafamba

  • 1

    mambo yasiyokuwa ya uadilifu.

    hila, udanganyifu

  • 2

    mambo yanayofanyika bila ya mpango maalumu; mambo yanayofanyika ovyoovyo.

Matamshi

mafamba

/mafamba/