Ufafanuzi wa mahepe katika Kiswahili

mahepe

nomino

  • 1

    ngoma ichezwayo usiku na wachawi.

Matamshi

mahepe

/mahɛpɛ/