Ufafanuzi wa mahudhurio katika Kiswahili

mahudhurio

nominoPlural mahudhurio

  • 1

    idadi ya watu waliofika.

  • 2

    idadi ya siku mtu alizohudhuria.

Asili

Kar

Matamshi

mahudhurio

/mahuðurijɔ/